[[""STANZA 1""]]

Niumbie moyo mpya bwana wangu

Wakati tumaini langu halipo

nizidi kutembea nawe Mwokozi

wewe Tu   kweli wanitosha

Nizidishie wema wako tena

lainisha njia zetu

(Tutende mema Kwa maagizo yako Tu)*2

Watch Niumbie Moyo Mpya by The Great UoEmSDA Choir Lyrics Video Here



[[""CHORUS""]]

Niwewe Bwana usiyeshindwa

Mungu wa miungu

Uliumba vyote vikawa

ukanusuru mwanadamu kiumbe dhaifu

(Nani kama wewe yesu hakuna)*2


[[""STANZA 2""]]

Nataka kutenda wema Bwana wangu

japo adui muovu anizingira 

Najua Hana nguvu na mamlaka

wewe ukiwa nami Yesu

Safari ya dhiki na majonzi

ila nakutumaini

(Mimi sina mwingine Bwana wewe Tu)*2